Kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA

Mwenye kiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jenerali Saidi Hamis Saidi (wakatikati walioka) akiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA uliofanyika Mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 7-8/12/2023 katika ukumbi wa chuo Cha Uhamiaji TRITA -MOSHI

BAMMATA linaundwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama vya Tanzania ambavyo ni kanda wanachama wa Baraza Hilo (kanda za Ngome, JKT, Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto na SMZ)

Matukio katika picha

Mwenye kiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jenerali Saidi Hamis Saidi  akiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA

Mwenye kiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigedia Jenerali Saidi Hamis Saidi akiwa na wajumbe wa kamati ya utendaji na wajumbe wa mkutano mkuu wa BAMMATA