Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Abbas akifungua mchezo wa mpira wa Pete Kati ya Timu toka kanda ya ZIMAMOTO na Timu toka Kanda ya MAGEREZA

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Abbas akifungua mchezo wa
mpira wa Pete Kati ya Timu toka kanda ya ZIMAMOTO na Timu toka Kanda ya MAGEREZA alipo tembelea viwanja vya Chuo cha Ualimu
Mtwara ambapo Michezo ya Majeshi lipokuwa ikifanyika Mkoani Mtwara February
2023