Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita akiwana katika Sherehe maalum ya Kuwapongeza Wana michezo wa Kanda ya SMZ

 Waziri wa Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mh Tabia Maulid Mwita (wakati) akiwa katika picha ya pamoja na wakuu wa vikosi maalum vya SMZ katika Sherehe maalum ya Kuwapongeza Wana michezo wa Kanda ya SMZ zilizo fanyika Zanzibar katika kambi ya KVZ, baada ya Ushindi mkubwa kwa Kujinyakulia Vikombe Vingi katika Michezo ya BAMMATA iliyofanyika Mkoani Mtwara kuanzia tar 9 – 21February ,2023