BAMMATA WASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI TENDAJI MWANZA 4 AUGUST 2023

Kamati tendaji ya Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) wameendesha kikao katika Ukumbi wa Lenana Mwanza, kujadili Michezo ya BAMMATA na kuongeza idadi ya Michezo ikiwemo timu za wanawake kwenye mpira wa miguu.
pia kuangalia eneo ambalo mashindano hayo ya BAMMATA yanatarajiwa kufanyika hapo mwakani 2024