JKT yashinda medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa wanaume

Katibu wa BAMMATA
Kanali Martin Msumari akimvisha medali ya Bronze mshindi wa tatu wa ujumla kwa
wanaume kwenye mchezo wa Riadha kutoka Kanda ya JKT katika Michezo ya Majeshi
iliyo fanyika katika viwanja vya chuo cha ualimu Mkoani Mtwara February 2023