Mh Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Pindi Chana akabidhi Tuzo za Mwanamichezo Bora Tanzania kwa mwaka 2022

Katibu Mkuu  wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania(BAMMATA) Kanali Martini Msumari(wa pili toka kulia) akiwa katika picha ya Pamoja na Washindi wa Tuzo za BMT kutoka Kanda ya ya NGOME (JWTZ) ya BAMMATA,Kasimu Mbundwike(kushoto)mAlphonce Simbu na Changarawe (kulia) katika Sherehe ya Utoaji wa Tuzo za BMT iliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar Es Salaam, Tar 17 Mar 2023