Mwanariadha wa mbio ndefu wa Jeshi la Magereza John Burra

Ni
mwanariadha mwingine wa mbio ndefu wa jeshi la Magereza anayeitwa John Burra ambaye ameliwakilisha Taifa
katika mashindano mbalimbali.
§ Mwaka, 1987 alishinda Amsterdam
Marathon na kushika nafasi ya 1
§ Mwaka, 1988 alishiriki Marathon
katika mashindano ya Olympic na kushika nafasi ya 43.
§ Mwaka, 1990 alishiriki Amsterdam
Marathon, Netherlands na kushika nafasi ya 2.
§ Mwaka, 1991 alishiriki Half
Marathon, Netherlands na kushika nafasi ya 1.
§ Mwaka, 1991 alishikiri Madrid
Marathon, Spain na kushika nafasi ya 1.
§ Mwaka,
1992 alishiriki Marathon katika mashindano ya Olympic, Bacelona Hispania ambapo
hukuweza kumaliza